Social Icons

Saturday, August 29, 2015

LOWASA KUFURU JANGWANI.


WAGOMBEA URAIS UKAWA
    UKAWA NDO HABAARI YA MJINI. uzinduzi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na wananchi wa tanzania, umemalizika katika viwanja vya jangwani. mamilioni ya watanzania walihudhuria kusikia nini mh; lowasa A.K.A BABU atanena.
kweli ni safari ya matumaini.
ELIMU... ELIMU... ELIMU.....
     jambo kubwa mheshmiwa waziri mkuu mstaafu alilotilia mkazo, ni elimu. shangwe zilisikika kila pande aliposema hadharani elimu bure kwa wote na inawezekana.
     hakuishia apo, kilimo,afya,maji vijijini, na pia air tanzania zote alizitaja kuwepo kwenye ilani ya chama. kilio cha wazanzibar na kilio cha wapenda burudani wa Tanzania, kumtaka BABU SEYA vyote alivisikia na kusistiza kuwatoa kwa muda husika.
     SAFARI YA MATUMAINI ITAFIKA ITAKAPO? MABADILIKO WANAYOTAKA WANANCHI, YATAPATIKANA? majibu tutapata karibuni
TAZAMA PICHA HAPO CHINI

 


























 
pics by: feddy kaddo,gerry tyga na richie michael

No comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates